Top news
SUNGU SUNGU MASWA WAPONGEZWA KWA UZALENDO WAO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akihitimisha ziara yake wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu amekuwa Mgeni Rasmi katika kusanyiko la Walinzi wa Jadi SUNGUSUNGU.
.
Kusanyiko hilo maarufu kama SANJO limekusanya Sungusungu zaidi ya elfu Mbili kutoka Mikoa ya kanda ya ziwa ya Simiyu, Shinyanga na Mwanza katika Kata ya SENG'WA wilayani Maswa Mkoani Simiyu.
Akizungumza mbele ya viongozi na Sungusungu amewapongeza kwa uzalendo wao kwa taifa lao na zaidi kuwapa taarifa ya kazi ya maendeleo inayoendelea kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

