MBUNGE DAMAS NDUMBARO AGAWA NYAMA KWA WANANCHI WAKE SONGEA
WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Dkt.Damas Ndumbaro leo Juni 29,2023 amechinja Ng’ombe na kugawa nyama Kwa lengo La kusherehekea sikukuu ya Eid Al Adha na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Manispaa ya Songea.
.
Shughuli hiyo iliratibiwa na Ofisi ya Mbunge ikishirikiana na Katibu Mkuu wa BAKWATA Mkoa wa Ruvuma Sheikh. Rajabu Mustapha Songambele.
@damasndumbaro_official @katibanasheria_
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

