AZAM FC YATEMANA NA KOCHA MSAIDIZI AGGREY MORISS
Timu Ya Azam FC imetangaza Rasmi kuachana na Nyota wao wa Zamani Na Kocha msaidizi Aggrey Moriss Ambrose baada ya kudumu kwa miaka 14.
Moriss alisajiliwa na Azam FC 2009 na Sasa atakuwa nje ya kikosi cha Azam FC!.
.
Azam FC imetoa Shukrani zake za dhati Kwa Nahodha Huyo Kwa Mchango wake mkubwa alioutoa Katika Klabu Hiyo.
.
"Ahsante sana kwa mchango wako ndani ya klabu yetu ukiwa kama nahodha, kocha msaidizi.
Ulikuja Azam FC ukiwa mdogo sana mwaka 2009 kama mchezaji hadi leo unaondoka ukiwa sehemu ya benchi letu la ufundi, Daima utabakia kwenye historia ya klabu yetu! Tunakutakia kila la kheri kwenye maisha yako mapya ya ukocha.
You're a true legend! @agreymorisambros. 👏" wameandika Azam FC.
#JordanMediaupdates
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

