MANCHESTER CITY YATWAA UBINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
KOMBE la tatu la msimu kwa Manchester City na wanakuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu England kuchukua #EPL, #FA na #UCL ndani ya msimu mmoja tangu Manchester United ilipofanya hivyo mnamo mwaka 1999.
Pep Guardiola anatwaa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza tangu afanye hivyo akiwa na Barcelona.
Pep Guardiola ametwaa treble (makombe matatu ndani ya msimu mmoja) mara mbili.
2008/09 - FC Barcelona:
🏆Champions League
🏆La Liga
🏆Copa del Rey
2022/23 - Manchester City:
🏆Champions League
🏆Premier League
🏆FA Cup
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

