logo

FAMILIA YA KING MAJUTO YAPEWA SHILINGI MILIONI 30

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameikabidhi familia ya aliyekuwa muigizaji wa Ucheshi Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto tuzo ya Heshima ikiambatana na zawadi ya hundi ya shilingi milioni 30 katika hafla ya Tuzo za Ucheshi Tanzania (Cheka na Samia) zinazofanyika leo, Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Superdome, Masaki jijini Dar es Salaam.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn