WAZIRI BASHUNGWA AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA SERIKALI NA MAKANDARASI WAZAWA, WASHAURI ELEKEZI WA NDANI
#PICHANI: Waziri wa Ujenzi Mhe.Innocent L.Bashungwa akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi wazawa, Washauri elekezi pamoja na wadau mbalimbali wa Sekta ya Ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu Sekta ya Ujenzi, uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention center jijini Dodoma, leo tarehe 21 Novemba 2023.
@wizarayaujenzinauchukuzi
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

