MSANII MASAUTI: WATANGAZAJI KENYA ACHENI KUWAOMBA HELA WASANII
Mwanamuziki Kutoka Nchini Kenya,Masauti aka Kenyan Boy amekemea vikali tabia ya baadhi ya watangazaji wa radio Kutoka Nchini humo kutaka pesa kutoka kwa wasanii ili wacheze nyimbo zao Redioni.
Kwa mujibu wa msanii huyo, amesema kuna vipaji vingi ambavyo vimekanyagwa na watangazaji ambao uangalia maslahi ya matumbo yao zaidi kuliko kukuza vipaji hivyo.
Hata hivyo,Masauti amewataka wasanii kutokufa moyo na badala yake kufanya kazi zaidi.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

