MR.EAZI AUZA KAMPUNI YAKE KWA DOLA BILIONI 1
MSANII wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria @Mr.Eazi, Inaripotiwa ameuza Kampuni Yake ya Muziki ya 'VYDIA' kwa Zaidi ya Dola Bilioni 1 za Kimarekani.
Eazi Kwa Hivi Sasa anatwaja Kuwa ndiye mwanamuziki tajiri zaidi barani Afrika na tajiri zaidi kuliko wasanii wote wa Nigeria kwa pamoja 🙌🏿.
.
Mpango huo ndio mkubwa zaidi katika Historia ya Afrobeats, Eazi Pia Ndiye Mmiliki wa Rekodi Lebo Ya emPawa Music.
Jukwaa hilo limewahi kufanya kazi na wasanii kama Mr Eazi, Fave, Joeboy, Darkavibes, na Bella Alubo.
#JordanEntUpdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

