UJENZI WA DARAJA LA MAGUFULI WAFIKIA ASILIMIA 75%
#PICHANI: Muonekano wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) linalojengwa katika eneo la Kigongo - Busisi, jijini Mwanza kwa gharama ya Shilingi bilioni 716 na ujenzi wake umefikia asilimia 75%.
Daraja hilo lina urefu wa Kilomita 4.6 pamoja na maunganisho yake.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

