NAMELESS AMESEMA ANAFIKIRIA KUFUNGA KIZAZI, WATOTO 3 WANAMTOSHA
MWANAMUZIKI Kutoka Nchini Kenya, Nameless amesema Kwa Hivi Sasa anafikiria Kufanya Maamuzi Ya kufunga kizazi kabisa Na Mishipa ya mbegu za kiume itakayofungwa kupitia njia ya kupanga uzazi ya Vasectomy.
Nameless amesema ametosheka na watoto wake watatu wa kike na hataki kuona Mkewe Wahu Kagwi na ujauzito tena .
.
Hatua ya Nameless kuhitaji kufunga uzazi imezua maswali mengi Kutoka Kwa Watu Mbalimbali kwani si kawaida kwa wanaume wa kiafrika kufanyiwa jambo hilo.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

