logo

MAULID KITENGE, GERALD HANDO WATUA WASAFI FM

WATANGAZAJI Maulid Kitenge Pamoja Na Gerald Hando, Leo April 19,2023 wametua katika Kituo Cha Redio Cha Wasafi FM Mara Baada ya Mkurugenzi wa Kituo Hicho Cha Redio, Diamond Platinumz Kuwatoa Kutoka Katika Kituo Cha Redio Cha E-fm.

.

Imethibitishwa Rasmi Ya Kwamba Kuanzia Sasa Hivi, Sauti Zenye Mamlaka za Watangazaji Hao zitasikika kwenye Masafa ya 88.9 @WasafiFm Katika Kipindi Cha Asubuhi Kinachoitwa "GOOD MORNING"

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn