logo

MZEE CHANGGEN AFANYA MAZOEZI YA YOGA KWA MIAKA 22

MZEE Lei Changgen mwenye umri wa miaka 71 kutoka mji wa Chongqing, Kutoka Nchini China, amefanya mazoezi ya Yoga kwa miaka 22.

.

Chanzo cha mzee huyo kuanza kujifunza Yoga ni maumivu ya shingo.

.

Sasa mzee huyo ana afya nzuri, hana maradhi yoyote ya kimsingi kama vile shinikizo la damu au ugonjwa wa kisukari.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn