HAPI ASHIRIKI MAZISHI YA ABBAS MWINYI ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Salum Hapi (MNEC) ameshiriki mazishi ya Kaka yake na Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi aitwaye Abbas Ali Mwinyi ambaye alikuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Fuoni aliyefariki juzi na kuzikwa leo tarehe 26/09/2025 ambapo mazishi yake yamefanyika katika makaburi ya familia ya Mangapwani katika Wilaya ya Unguja Kaskazini "B" katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

