logo

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA MSHINDI WA KWANZA KWENYE MAONESHO YA 49 YA SABASABA JIJINI DAR

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Jasson Rwezimula akionyesha tuzo ya Mshindi wa kwanza katika kundi la Wizara zilizoshiriki ambapo Wizara ya Katiba na Sheria imeshika nafasi ya Kwanza katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam (Sabasaba 2025).

‎Wizara ya Katiba na Sheria imetangazwa mshindi wa kwanza miongoni mwa wizara zilizoshiriki leo Julai 7,2025 wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho hayo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn