logo

SEKTA YA MAWASILIANO IMEKUA KWA ASILIMIA 7.6 KWA MWAKA 2023-WAZIRI SILAA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) amesema sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imechangia asilimia 1.4 mwaka 2023 kwenye pato la taifa ikilinganishwa na Asilimia 1.5 mwaka 2022.

.

Waziri Silaa ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha bungeni bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, tarehe 16 Mei, 2025 jijini Dodoma.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn