MWANAUME ATEMBEA KILOMITA 450 BAADA YA KUGOMBANA NA MKEWE
Huko nyuma mwaka 2020, mwanamume mmoja raia wa nchini Italia alitembea kilomita 450 baada ya kuondoka nyumbani kwake ili kupumzika kutokana na ugomvi baina yake na mkewe.
Polisi walimzuia mjini Fano wiki moja baadaye na kumtoza faini ya Euro 400 kwa kukiuka amri ya kutotoka nje.
.
Mwanaume huyo amenusurika kwa chakula na vinywaji kutoka kwa wageni waliomsaidia wastani wa kilomita 60 kila siku.
Mkewe alikuwa ameripoti kituo cha polisi kwa kutoweka kwake na baadaye akamchukua.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

