DKT.BITEKO AKUTANA NA PROF. JANABI IKULU NDOGO TUNGUU,ZANZIBAR
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba, Profesa Mohamed Yakub Janabi mara baada ya hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Viongozi mbalimbali uliofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, Disemba 10, 2024.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

