logo

BASHUNGWA APIGA KURA KATIKA KITUO CHA AHAKISHAKA KARAGWE

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Ahakishaka, Kata ya Nyabiyonza, Karagwe mkoani Kagera, leo Novemba 27,2024.

Bashungwa amepiga kura kuwachagua Mwenyekiti wa kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji kundi Mchanganyiko kwa Wanaume na Wanawake pamoja na Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji kundi la Wanawake.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn