LUKUVI AJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA IRINGA
#PICHANI: Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani ameshiriki kujiandikisha kwenye daftari la wakazi katika kitongoji cha Msimbi kilichopo katika kijiji cha Idodi ili kushiriki kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo tarehe 20/10/2024.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

