logo

MBUNGE WA JIMBO

MBUNGE Wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso(@jumaa_aweso) Amesema Katika Jimbo lake wamepanga Kupata Boti inayokwenda Haraka( Fast Boat) ambayo itawarahisishia Watu Wa Tanga, Arusha Na Maeneo Mengine ya Kaskazini Kufika Zanzibar Kwa Urahisi Badala Ya Kupitia Dar es Salaam.

.

Aweso Ameyasema Hayo Alipokuwa Ameshiriki Iftaar Ya Pamoja Na Wananchi Wa Jimbo Hilo.

.

Aidha, Mbunge Huyo Amewaelekeza Viongozi Kuwa Ujenzi Wa Barabara Ya Tanga- Pangani- Saadani- Bagamoyo Uendane Na Ushirikishwaji Wa Wadau Mbalimbali Ambao watashirikiana Kupata Fast Boat itakayokwenda Zanzibar Ili Kuusaidia ukanda Wa Kaskazini Kufungua Fursa za Kiuchumi.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn