logo

MATUKIO KATIKA PICHA : VIONGOZI PAMOJA NA WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU MARA BAADA YA UWASILISHWAJI WA HOTUBA YA WAZIRI MKUU

#PICHANI: Kutoka Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Ofisi yake Dkt.Jim Yonazi mara baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025 katika Mkutano wa 15 kikao cha pili Jijini Dodoma.

.

#PICHANI: Kutoka Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya OSHA Bi. Khadija Mwenda mara baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2024/2025 katika Mkutano wa 15 kikao cha pili Jijini Dodoma.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn