logo

SENDIGA AISHUKURU BENKI YA NBC RUKWA

MKUU Wa Mkoa Wa Rukwa Mhe.Queen Sendiga, Ametoa Shukrani zake za dhati kwa Meneja wa Benki ya Biashara ya Taifa(NBC) Katika Mkoa Huo, Pamoja Na Timu Yake Yote kwa kuwakumbuka wananchi waliopata Maafa ya Mvua katika Kijiji cha Talanda Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga.

.

Benki Hiyo imetoa Mchango Wa Chakula ambacho ni Unga na Maharage ikiwa Ni Sehemu ya Msaada Kwa Wahanga Hao.

.

Aidha, Sendiga Ametoa Wito Kwa Wadau wengine kushirikiana Nae pale maafa yanapotokea katika Mkoa Huo Na Pia kutoa elimu kwa wananchi Juu ya Upandaji Wa miti ya kutosha katika makazi yao ili kusaidia kupunguza maafa ya mafuriko.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn