
WANANDOA WANAONUNUA PETE ZA GHARAMA, HUACHANA MAPEMA BAADA YA NDOA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na maprofesa wa uchumi Bw.Andrew Francis-Tan na Hugo M Mialon kutoka nchini Marekani, umependekeza kwamba wenzi wanaotumia pesa nyingi zaidi kwenye sherehe za harusi zao na kununua pete za uchumba za bei ghali, wana uwezekano mkubwa wa kuachana(kutalikiana).
🤵♂️👰♀️ Utafiti huo, uliotegemea zaidi ya watu 3,000 nchini Marekani, ulipata uhusiano kati ya gharama kubwa za harusi na ongezeko la viwango vya talaka.
Ndoa zilizo na pete za uchumba zilizogharimu zaidi ya Paundi 1,500( Sawa na Milioni 4 na laki 7 za kitanzania)zilihusishwa haswa na uwezekano mkubwa wa talaka.💍
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News

Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news