logo

MSANII HARMONIZE ATUA BONGO KWA KISHINDO, MAELFU WAJITOKEZA KUMPOKEA AIRPORT

Mwimbaji na Staa wa Bongofleva @harmonize_tz amewasili Nchini Tanzania akitokea Marekani alikoshinda Tuzo tatu za AEAUSA ambazo ni Artist of the year 2023, Best Music Video (single again) na King of The East and Bongo Afro Bongo Flavour.

Mara baada ya kufika katika uwanja wa Kimataifa wa J.K.Nyerere alipokelewa kwa furaha na Katibu Mtendaji BASATA Dkt.Kedmon Mapana Pamoja na viongozi wengine wa BASATA, hata hivyo Waandishi wa habari na Mashabiki wake walikuwa wamejitokeza kwa wingi katika kumpokea Msanii huyo katika Uwanja wa ndege mara tu baada ya kuwasili.

@harmonize_tz

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn