GSM ATOA MSAADA WA VIFAA VYA MATIBABU TAASISI YA OCEAN ROAD
#PICHANI: Mdhamini na Mfadhili wa Klabu ya Young Africans SC, Ghalib Said Mohamed akiwa pamoja na familia yake ametoa vifaa mbalimbali vya matibabu katika Taasisi ya Kansa ya Ocean Road iliyopo Jijini Dar Es Salaam.
.
Katika tukio hilo pia, alikuwepo na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe.Albert Chalamila ambaye alikuwa Mgeni Rasmi wa tukio hilo, Rais wa Yanga SC Eng.Hersi Said, Rais wa TFF Ndg.Wallace Karia na wengineo.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

