logo

TIMU YA Al-NASSR KUSHIRIKI KWENYE MICHUANO YA UEFA 2024/25

Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA Champions League) inafikiria kuialika Timu ya Al-Nassr kushiriki kwenye michuano ya UEFA Champions League kwa toleo la 2024/25 la mashindano hayo, Hii ni kwa mujibu wa Ali Al-Harbi.

.

Kulingana na UEFA, Al-Nassr inachukuliwa kuwa moja ya "vilabu 3 maarufu" ulimwenguni 👀 hivyo kuingia kwenye Michuano itasaidia kutangaza zaidi UEFA duniani kote.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn