logo

MREMBO AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO

Mwanamke mwenye umri wa miaka 22 Kutoka Nchini Urusi, Mika Shabasova amefariki dunia Mara Baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa Makalio Yake.

.

Kifo chake cha ghafla kimekuja dakika 10 tu mara baada ya kudaiwa kupewa ganzi na mrembo 'asiyestahili' ambaye pia alikuwa rafiki yake.

.

Polisi wanasema 'mrembo' huyo alikuwa amesoma kozi ya wiki mbili na akaendelea kujitangaza kuwa mtaalamu wa kupandikiza Viungo Katika Sehemu Mbalimbali za Mwili.

.

Aliwaambia wachunguzi kwamba mara kwa mara alipunguza ngozi ya mwathiriwa na Dawa Aina ya lidocaine, kabla ya kumfanyia taratibu mbalimbali.

.

Katika upasuaji huo ulioshindikana, marehemu alikuwa ametozwa Dola 154 za Kimarekani na utaratibu ulikuwa unafanywa nyumbani kwa rafiki yake.

.

Mamlaka ya uchunguzi imemtaja 'mrembo' kama mhudumu wa zamani ambaye hakuwa na leseni ya upasuaji wa urembo lakini alikuwa akifanya kupanua midomo, shavu na makalio.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn