logo

NDUMBARO AFUTURISHA JIMBONI KWAKE SONGEA MJINI

WAZIRI wa Sheria na Katiba na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mhe.Dkt. Damas Daniel Ndumbaro ametoa Salamu zake kwa wakazi wa Songea toka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ya Kwamba anawapenda na kuwathamini Pia.

Ndumbaro Amefikisha Salaam hizo wakati wa Iftar ya Kufuturisha Waislamu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani aliyoiandaa Mbunge huyo Jana Nyumbani kwake Mahenge Mjini Songea.

Mbunge Huyo amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kudumusha upendo, Amani na mshikamano bila ubaguzi wa Dini yoyote jambao ambalo Tanzania tunajivunia.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn