logo

MSANII MADEE ATANGAZA KUACHANA NA MUZIKI WA BONGOFLEVA

MWANAMUZIKI wa Bongofleva kutoka Hapa Nchini ambaye Pia ni Mmiliki Wa Lebo ya Music Ya Manzese Music Baby (MMB), Madee Ali, Amesema ametangaza Hadharani kuachana na muziki kwa kile alichodai umri wake umemtupa mkono.

.

Madee Amefunguka hapo Kupitia kwenye Ukurasa wake Wa Mtandao Wa Twitter mara Baada Ya Kuandika Haya Yafuatayo;

"Umri wangu umekwenda sana, na namshukuru Mungu kwa huu muda alionipa coz nimeshuhudia marafiki wengi sana hawakubahatika kufika 40+, why me?.

"Asante Mungu, ninachosikitika nikuchelewa kuwa mtu mwengine, umaarufu mbaya sana, nimeamua kuacha yote, naanza nahili STAKI TENA MUZIKI na mengineyo🙏" Ameandika Madee.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn