logo

MWENGE WA UHURU WATUA MKOA WA TANGA LEO

MKOA wa Tanga Leo Mapema Juni 9,2023 umepokea Mwenge wa Uhuru kutokea Mkoa wa Kusini Pemba.

.

Mwenge huo utakimbizwa kwenye halmashauri 11 za Mkoa wa Tanga ambapo umekimbizwa na Mkuu Wa Wilaya Ya Tanga Mjini Mhe.Hashim Mgandilwa, Na Kesho Juni 10 ataukabidhi Katika Wilaya Ya Pangani Kwa Mhe. Zainab Abdallah Na Juni 19 utakwenda Wilaya Ya Korogwe Kwa Mhe.Jokate Mwegelo na hatimaye Juni 20,2023 utakabidhiwa Katika Mkoa wa Kilimanjaro.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn