USM ALGER MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA 2023
TIMU ya USM Alger ya Algeria imetwaa ubingwa wa kombe la shirikisho Afrika kwa faida ya bao la ugenini kifuani sare ya jumla ya 2-2.
Safari ya wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye kombe la shirikisho Afrika imeishia fainali na wanakuwa washindi wa pili.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

