logo

NMB YADHAMINI MKUTANO WA 37 ALAT JIJINI ARUSHA .

BENKI ya NMB imekuwa mshirika mkubwa wa Serikali katika kuleta maendeleo kwa wananchi ambapo imeahidi kuendelea kuwa wabunifu na kujitoa zaidi kwa maslahi ya Watanzania na Taifa kwa ujumla.

Pichani ni Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na mahusiano ya Serikali - Alfred Shao, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Dkt. Philip Isdory Mpango kwa niaba ya benki, kutambua mchango wao kama mdhamini Mkuu wa Mkutano wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT Taifa) unaoendelea Jijini Arusha.

Ni miaka saba mfululizo, benki hiyo imekuwa ikidhamini mikutano ya ALAT.

@nmbtanzania

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn