
JORDAN MEDIA YAZINDUA WEBSITE MPYA LEO MEI 28,2023 DODOMA
MKURUGENZI wa Jordan Media Na Mwandishi Wa Habari Na Mtangazaji Ndg.Frank Jordan Leo Mei 28,2023 Jijini Dodoma Ametambulisha Rasmi Tovuti(Website) Mpya Ya Habari Mbalimbali za Ndani Na Nje Ya Tanzania inayoitwa jordanmediatz.com.
.
Tovuti Hiyo Kwa hivi Sasa inapatikana Katika Google, Hivyo Ukiingia Kwenye Google halafu ukaandika 'Jordan Media Tz' utaikuta ya Kwanza Kabisa Kujitokeza Kwahiyo Unaweza Ukaingia Kwenye Tovuti hiyo na Ukapata Habari Mbalimbali zilizoweza kujiri hapa Nchini Na Nje Ya Nchi Masaa 24.
.
Aidha, Frank Jordan anayo idhaa katika YouTube inaitwa Jordan Media, ambayo inatoa habari mbalimbali na inatenda kama televisheni (TV) Mtandaoni.
.
Na Pia Kupitia Ukurasa Wa Mitandao ya Kijamii Kama Vile Facebook, Twitter, Instagram Na TikTok Unaweza kuwafuatilia Kupitia @jordanmedia_ na Jordan Media.
.
"Ningependa Kutoa Shukrani Zangu za Dhati Kwa Wadau, Mashabiki Na Timu Yangu Yote iliyofanikisha Mpaka Leo Hii tumeweza Kufikia Kuzindua Website Yetu Mpya.
.
"Shukrani Nyingi Ziende Maryland Nchini Marekani Kwa Kaka Yangu Mubelwa Bandio (@mutwiba) Kwa Kuhakikisha Jordan Media inafika Mbali Zaidi Kwa kuhabarisha,Kuburudisha Na Kuelimisha Jamii. Tunasema Jordan Media "LET'S MAKE A MAGIC 🔥🔥"" Amesema Frank.
#JordanMediaupdates
Tranding News

Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news