logo

WAZIRI MKUU DKT.MWIGULU AITAKA SEKRETARIETI YA MAADILI KUCHUKUA HATUA JUU YA RUSHWA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.

‎Akizungumza na watendaji hao, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa yapo maeneo ambayo bado rushwa imekithiri lakini watumishi wake hawatambuliki kama sehemu ya viongozi kwa majukumu yao.

‎.

‎“Ni muhimu kufanya mapitio ya haraka ya tamko ili nao waweze kujumuishwa” alisema Dkt. Mwigulu.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn