RC SENDIGA AHAMISHIWA MKOA WA MANYARA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa, uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na uteuzi wa Mkuu wa Wilaya.
.
Samia amemteua Mhe.Queen Cuthbert Sendiga (ambaye Ni Mkuu Wa Mkoa Wa Rukwa) Kwenda Kuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Manyara Akichukua Nafasi ya Mhe.Charles Makongoro Nyerere ambaye amehamishiwa katika mkoa wa Rukwa.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

