MPINA ASHINDA KESI YA KUENGULIWA KUGOMBEA URAIS
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT- Wazalendo, Luhaga Mpina ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu za uteuzi wa mgombea Urais iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na mahakama kuamuru taratibu ziendelee zilipoishia.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

