BASHE AZINDUA KITABU CHA KANUNI BORA ZA KILIMO CHA CHAI
WAZIRI wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe leo tarehe 21 Mei, 2023 amezindua Kitabu cha Kanuni Bora za Kilimo cha Chai na Kitabu cha Muongozo wa Mkulima wa Chai.
Bashe amefanya uzinduzi huo kwenye maadhimisho ya Siku ya Chai Duniani ambayo kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma.
Aidha,Bashe amezindua Mfumo utakaotumika kuingiza taarifa za Wakulima na Wadau wa mnyororo wa thamani katika zao la chai.
Waziri Bashe alikuwa Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Chai Duniani ambayo kitaifa yalifanyika Jijini Dodoma.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

