RAIS SAMIA AZINDUA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 19, 2023 amezindua rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Mtaji wa Watu Katika Kuboresha Maendeleo ya Afrika utakaofanyika Julai 25-26, 2023, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

