KAMISHNA JENERALI LYIMO AKAGUA MABANDA NA KUTOA TUZO KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) Aretas Lyimo leo Juni 26,2025 amekagua mabanda na kukabidhi tuzo ya ushiriki kwa mabanda ya wadau mbalimbali walioshiriki katika Maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya katika viwanja vya ukumbi wa Mkutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

