VIPAUMBELE VYA WIZARA 2025/26 KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA ANGA YA MTANDAO-WAZIRI SILAA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) amesema vipaumbele vya Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka 2025/26 ni kuimarisha ulinzi na Usalama wa anga ya Mtandao, kuweka Mazingira wezeshi kwa ajili ya kuchochea ubunifu na kuimarisha ustawi wa kampuni changa.
.
Waziri Silaa (Mb.) ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha bungeni bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, tarehe 16 Mei, 2025 jijini Dodoma.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

