TANZANIA,KOREA KUSINI KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA UCHUKUZI
Naibu Waziri Wa Uchukuzi Mheshimiwa David Kihenzile ametembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Mhe. Noel Emmanuel Kaganda.
.
Pamoja na masuala mengine Mheshimiwa Naibu Waziri amezungumza na Balozi Mheshimiwa Kaganda kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Korea Kusini, hususan katika Sekta yetu ya Uchukuzi.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

