logo

MFANYABIASHARA MNIGERIA AFARIKI BAADA YA KUONGEZA UKUBWA WA UUME

Mfanyabiashara na influencer maarufu wa Uingereza mwenye asili ya Nigeria, Igho “Tiny” Ubiribo, maarufu pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand.

‎.

‎Kwa mujibu wa taarifa za uchunguzi wa kifo zilizotolewa katika Mahakama ya Coroner ya Inner West London, Ubiribo alifanyiwa matibabu hayo katika kliniki moja nchini Thailand mwezi Machi, ambapo alichomwa mililita 40 za hyaluronic acid pamoja na lidocaine.

‎.

‎Ripoti ya coroner imeeleza kuwa utaratibu huo wa urembo ulihusishwa na kutokea kwa embolism, hali iliyosababisha kifo chake.

‎.

‎Ubiribo alikuwa nchini Thailand kwa likizo ya kifahari pamoja na mke wake.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn