FILAMU YA AVATAR: FIRE AND ASH YAVUNA DOLA BILIONI 5.6 MWAKA 2025
Filamu ya Avatar: Fire and Ash iliyotolewa rasmi Desemba 19, 2025, imeendelea kuvunja rekodi baada ya kukusanya zaidi ya dola milioni 450 kwenye mapato ya dunia.
.
Mafanikio hayo yameifanya franchise ya Avatar ya James Cameron kufikia jumla ya dola bilioni 5.6 (takribani shilingi Trilioni 13.7 za kitanzania) na hivyo kutangazwa kuwa trilogy yenye mapato makubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya sinema.
Kwa mafanikio haya, Avatar sasa imezipiku franchise maarufu kama Star Wars, Jurassic World na ulimwengu mwingine mikubwa ya filamu duniani.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

