logo

MZEE NZAMWITA AISHI MIAKA 55 AKIWA SINGLE KWA KUWAOGOPA WANAWAKE NCHINI RWANDA

Mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Callixte Nzamwita, mwenye umri wa 71,raia wa nchini Rwanda, amekuwa akiishi pekee yake kwa zaidi ya miaka 55 kutokana na hofu na chuki kubwa dhidi ya wanawake, hali iliyomsukuma kujitenga kabisa na jamii yake.

‎Akiwa na umri wa miaka 16, Nzamwita alijenga ua mrefu kuzunguka makazi yake na kukata mawasiliano yote na watu, hasa wanawake, ili kuepuka wasiwasi na hofu aliyokuwa akipata.

‎.

‎Tangu wakati huo, amekuwa akiishi maisha ya upweke uliokithiri.

‎.

‎Majirani wanasema hulazimika kwenda kutafuta chakula na maji umbali fulani, kwa sababu Nzamwita hukataa kupokea msaada au mawasiliano kutoka kwa mtu yeyote wa kike.

‎Hadithi yake inaibua mjadala kuhusu athari za hofu kali (phobia) na changamoto za afya ya akili ambazo hazijatibiwa, zinazoweza kumtenga mtu kabisa na dunia inayomzunguka.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn