PANYA 100 WAFUZU MAFUNZO SUA NA KUPELEKWA NCHI MBALIMBALI -PROF.MKENDA
Serikali imeendelea kutekeleza mradi wa kufundisha wanyama hususani panya buku kupitia Chuo Cha SUA, ambapo panya takribani 100 wamefuzu mafunzo na kupelekwa nchi mbalimbali.
.
Aidha, Panya ajulikanaye kwa jina la Ronin amevunja rekodi ya dunia kwa kutambua mabomu 109 yaliyotegwa ardhini nchini Cambodia.
.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 12, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

