DC JOKATE AWATAKA WAJAWAZITO KUJIFUNGUA KATIKA VITUO VYA AFYA
MKUU wa Wilaya ya Korogwe Mhe.Jokate Mwegelo amewataka wanawake wajawazito kuacha Tabia Ya kujifungulia nyumbani .
Jokate amesema hayo wakati wa hotuba yake ya kumkaribisha mgeni rasmi wa Mbio hizo za MAMATHON ambazo zimeshirikisha wamama wajawazito wa Wilaya ya Korogwe.
Mkuu Huyo Amesema kuwa Serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeweza kujenga Vituo vya Afya na zahanati katika kila Kata na kijiji cha Korogwe hivyo hakuna sababu ya wao kuendelea kujifungulia majumbani.
#JordanMediaupdates
Frank Jordan
12345
123
Tranding News
Newsletter
Subscribe to our newsletter to get the latest news

