logo

BMH KUANZISHA DAWATI LA ELIMU YA MATUMIZI YA DAWA

Menejimenti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imekubaliana na wafamasia kuwa na watalaamu wa kutoa Elimu na ushauri nasaha kwa wagonjwa wanapopewa Dawa katika madirisha ya kutolea huduma ndani ya Hospitali hiyo.

‎Hayo yamebainishwa na Prof. Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji wa BMH wakati wa kikao cha mashauriano na Wafamasia katika siku ya Wafamasia Duniani iliyoadhimishwa Hospitalini hapo kwa kuongea na kutoa elimu kwa wagonjwa juu ya matumizi sahihi ya Dawa.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn